Lijulishe Kanisa
Nilipokuwa kijana mdogo, Shule ya Sabato kawaida ilikuwa ikianza na taarifa. Taarifa juu ya nguo kiasi gani zilizotolewa, masomo ya Biblia yaliyotolewa, wngapi waliojifunza lessoni zao kila siku, na ni pesa kiasi gani kilicholotewa kwa malengo mbalimbali. Kisha mwingine angeoma taarifa ya utume juu ya mradi wetu wa utume. Hakika ilikuwa ilikuwa iliyopooaza yote/kwa ujula. Taarifa haikunihamasisha vya kutosha/ipasavyo/vilivyo, isipokuwa kunipa hatia kama sikuweza kuinua mkono kwamba nilisoma kila siku. Waumini wengi waliamua kukwepa taarifa na kulala zaidi kidogo. Kanisa liliponipa mamlaka katika jambo hili, taarifa ilikoma na Shule ya sabato ikawa ni muda wa kusoma na kujifunza Biblia tu. Uzoefu wangu wa ujana ulinipa mtizamo dhidi ya taarifa. Je, ni nafasi taarifa zilikuwa na nafasi gani katika kanisa la awali? Ziwe na nafasi gani leo? Je, asili ya taarifa ina mantiki juu ya umuhimu wake. Hebu na tuzame katika kujifunza kwetu Biblia na kubaini hili!
Taarifa na sifa
Soma Mat 4:1-4. Uinjlilisti wa Petro na Yohana ni wa mafanikia kiasi gani? ("Wengi . . waliamini!")
1. Kwanini unafikiri fungu linawataja moja kwa moja Masadukayo? (Soma Mat 23:8. Mafarisayo hawakuamini juu ya ufufuo. Mitume siyo tu kwamba walikuwa wakifundisha uasi, bali walikuwa pia wakifundisha haswa kuwa Yesu amefufuka!)
Soma Mat 4:5-7. Je Anasi na Kayafa walikuwa na elimu ya sheria. (Hapana!Unauliza maswali elekezi tu kwa mashahidi mahasimu. swali elekezi zuri hupendekeza aina ya jibu na ni rahisi kupata jibu la ndiyo au hapana. Kama unatakwa kuumizwa kwenye kesi, uliza aina ya maswali kama ambayo walikuwa wamewauliza mashahidi mahasimu!)
1. Ni namna gani ungeuliza swali endapo kama ungekuwa Msadukayo? ("Je umekuwa ukifundisha uasi wa ufufuo?" likifuatiwa na, "Je Shetani ni muasis wa uasi?")
2. nafurahia burudani u=ya uchokonozi ya viongozi wa kidini, lakini ni kwa namna gani shauri hili likikuwa makini? (Petro na Yohana wanajua kuwa Yesu aliuwawa kwenye mazingira ya kufanana na haya. Binafsi ningekuwa natokwa jasho na siyo kucheka kwa kustaajabishwa na mwenendo.)
Soma Mat 4:8-10. Mwalimu bora kabisa wa sheria ulimwenguni ni nani? (Roho Mtakatifu! Jibu hili (ambalo kimsingi ni maswali mawili ekekezi yakifuatiwa na jibu) yananipa raha sana: "Je, tupo kwenye hukumu kwa kuwa wema? Je, kumponya kwetu kwetu sababu ya kukamatwa kwetu?)
1. Ni ushahidi upi wa ufufua wa Yesu uliotolewa na manafunzi? (Waliarifu kuwa nguvu ya ufufuo wa Yesu ndiyo iliyomponya kiwete huyu. Mtu huyu ni ushahidi wa kuponywa, na kuponywa ni ushahidi wa ufufuo. Safi.)
2. Je, Petro na Yohana wametoa taarifa kwa Sanhedrin? (Ndiyo!)
a.) Hii inatufundisha nini juu ya utoaji taarifa? (Inaandaliwa kwa uvuvio wa Mungu, ni taarifa juu ya kazi za Mungu na imetengenezwa kwa umakini.)
Soma Mat 4:13-16. Masadukayo walielemewa kisheria na watu wasio na elimu! Hii inatufundisha nini juu ya nguvu ya Roho Mtakatifu katika maisha yetu? (Anabadili/geuza changamoto. Kamwe usihisi kwamba huwezi kushuhudia (au kutoa taarifa) kwa wale ambao wana elimu kukuzidi.)
Soma Mat 4:21-22. Unaweza ukatambuaje aliyeshindwa shauri hili? (Kawaida ambao hushindwa kwenye hoja hugeukia vitisho. Vurumai/Vuguru/Fuju ni matokeo ya kushindwa kushawishi.)
Soma Mat 4:23. Hakika hii ni taarifa nzuri sana. Mitume walikuwa wakitoa taarifa juu ya nini?
1. Zaidi ya kiwango cha msisimko ni kwa namna gani taarifa hii inatofautiana na ile ya Shule ya Sabato ya ujana wangu? (Zile zilikuwa taarifa za matendo ya wanadamu. Hii ni taarifa ya mambo aliyofanya Mungu.)
2. Tuna kipindi cha kusifu na kuabudu katika kanisa letu. Huenda mkawa nacho ninyi pia. Ni aina gani ya taarifa unazosikia? Taarifa za mambo yapi Mungu aliyofanya au yapi wanadamu wamefanya?
Soma Mat 4:24. Watu walipokea taarfa kwa namna/jinsi gani? (Walimsifu Mungu! Ona uhusiano. Watu wanapotoa taarifa za yale waliyofanya, wanatafuta sifa. Nafikiri hii si sahii kwenye kanisa. Lakini, pale utoapo taarifa kile Mungu alichotenda, basi watu humsifu MunGU.)
Soma Mat 4:25-26. Nijamboo lipi watu wanabainisha katika kupokea taarifa hii? (Mungu mkuu wa mbinguni atakoroga bidii zote za uovu na unyonge za wanadamu. Taarifa za matendo ya binadamu ni kupoteza wakati kwa sababu "tunapanga bure." Tunahitaji taarifa za nini Bwana anafanya kupitia watu wake.)
Taarifa na Huduma
Soma Mat 21:17-18. Yakobo na "wazee wote" wanawakilisha nini? (Huu ni uongozi wa kanisa la Yerusalemi. Hawa ni viongozi wa makao makuu.")
Soma Mat 21:19. Baini tofauti hapa. Paulo anatoa tarifa kipi "Mungu ametenda," lakini pia anajumuisha "utumishi wake." Je hiyo inakubalika? (Kila taarifa inahitaji maudhui. Paulo bado anataarifu juu ya kipi Mungu ametenda.)
Soma Mat 21:20. Viongozi wanapokeaje taarifa hiyo? (Wanamtukuza Mungu. Hii inatupatia uthibitisho zaidi wa lengo ya taarifa ya Paulo.)
Mikakati ya kutoa Taarifa
Soma Mat 21:20-21. Je, taarifa hizi ni za kweli? (Soma Wagalatia 5:1-6. Ni kweli na hakika kuwa Paulo aliwafundisha Wakristo kuwa hawakuhitaji kutahiriwa! Endapo kama aliwafundisha na WayahudI hili pia, hili haliko bayana kwangu - ingawaje upana wa hoja yake ("kila anayekubali kutahiriwa") unanifanya niamini kuwa aliwafundisha. Naam, hata Paulo mwenyewe ni Myahudi.)
Soma Mat 21:22. Vipi tukisema, "Ndiyo, Paulo yuko hapa, ndiyo, amekuwa akifundisha dhidi ya Tohara?"
Soma Mat 21:23-26. Ni kwa jinsi gani Paulo anaandaa taarifa ambayo inaonekana kupotosha? Ni kwa vipi Paulo anaweza pendekeza kuwa hakuna "ukweli" kwenye taarifa kuhusu kupinga mafundisho ya Musa?
1. kwanini Pulo anapendekeza kuwa chochote chenye kuhusiana na hekalu (baada ya kufufuka kwa Yesu) chaweza "kumtakasa" mtu?
Soma Mat 16:1-3, War 14:19-22 na 1 Wak 9:19-23. Hii inapendekeza mini kuhusu anachokifanya Paulo? (Ona mambo mawili. Kwanza, Mat 21:25 inatambua mipaka ya kile kinachotakiwa kutoka kwa mataifa. Kwahiyo hakuna upotoshaji juu ya jambo la msingi. Kuhusu kile anachokifanya Paulo, lengo lake ni kuepuka kukwaz awengine. Analenga kupunguza migongano ndani ya jamii ya waaminio.)
1. Somo gani lingine la ziada tunalopata kuhusu kutoa taarifa? (Ya kwamba hatupaswi kusema kila kitu tunachokifahamu.)
2. Je, tuachane na taarifa kama tunajua kuwa baadhi ya vipengele vyake vitasbabisha msuguano miongoni mwa baadhi ya waaminio?
Soma Hes 13:17-20. Musa na watu wa Mungu wapo katika mipaka ya Kaanani - nchi waliyoahidiwa na Mungu. Unafikiri ni nini ilikuwa azma ya Musa kutuma wapelelezi? (Kupata taarifa ya kutia moyo! Kusisimua makutano juu ya kile kilicho mbelel yao.)
Soma Hes 13:26-29. Kama watu hawa walikuwa wanaongozwa na Paulo (ama walau vingozi wa Yerusalemi), taarifa ingekuwa tofautio kiasi gani? (Wangekuza kipengele cha majitu.)
Soma hes 13:30. Ni kwa namna gani Kalebu anawasilisha taarifa? (Anatoa taarifa chanya ya kuthibitisha imani.)
Soma Hes 13:31-33. Ni nini kinapungua kutyoka katika taarifa yao ya awali? (Mtizamo chanya ya kilr walichokiona!)
Paulo na Kalebu wangetofautiana jinsi gani taarifa iwasilishwe? (Paulo ni wazi aliamini katika kupunguza migogoro. Kwahiyo, Kalebu angendika sehemu ya ripoti ya "Twendeni tukapambane nao, Mungu yuko pamoja nasi. Paulo angehakikisha taarifa inaandaliwa katika namna ambayo ingeongeza idadi ya wale ambao wangehitaji kumfuata Mungu.)
SOma Hes 14:1-3. Ni nini matokeo ya taarifa hasi? (Mwitikio hasi wa watu.)
1. Ninasoma kitabu chenye kichwa "Kufikiri, Haraka na Taratibu" cha Daniel Kahneman, na kinajadili juu ya ". . . "Kitu tunachoona au kusikia . . . (ikimaanisha shawishi) uchukuaji wa maamuzi yetu bila hata ya sisi kuchukua muda kufikiri kwa kujitambua. Hii inapendekeza nini kwa waandishi wa taarifa? Ya kwamba tuna ushawishi mkubwa wa kushawishi uchukuaji wa maamuzi wa wale wasomao taarifa zetu. Hiyo inaleta jukumu kubwa la kuanda taarifa zilizo chanya, zenye kuinua, za kiungu).
Rafiki, unaandaa tarifa rasmi na zisizo rasmi mara zote. Je utaazimia leo kumpa Mungu sifa, kujaribu kuleta mabadiliko chanya, na kuepuka migongano isiyo ya lazima?
Juma lijalo: Kupitia Upya Ushuhudiaji na Uinjilisti.