Bible Study of the Week


Somo la 12: Wameona Nini Nyumbani Mwako

Year: 
2019
Quarter: 
2
Text: 
(Isaya 38, 2 Wafalme 20, 2 Mambo ya Nyakati 32)
English

Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2017, Bruce N. Cameron, J.D. Marejeo yote ya maandiko yametoka kwenye tafsiri ya New International Version (NIV), copr. 1973, 1978, 1984 International Bible Society, isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo. Nukuu kutoka kwenye tafsiri ya Biblia ya NIV inatumika kwa ruhusa ya Wachapishaji wa Biblia wa Zondervan. Majibu yaliyopendekezwa yanapatikana kwenye parandesi (kwenye mabano). Somo limekaa kimtazamo kwamba mwalimu anatumia ubao au sehemu nyingine yoyote ambayo inaweza kuonekana na wanafunzi. Kama huwa una kawaida ya kupokea somo hili kwa njia ya barua pepe na hukulipata kwa juma moja, unaweza kulipata kwa kubofya kwenye www.lesoni.blogspot.com kwa lugha ya Kiswahili na http://www.GoBible.org kwa lugha ya Kiingereza pamoja na lugha nyingine kama vile Kifaransa, Kijerumani.

Subscribe to Front page feed

Additional Recent Lessons from Gobible.org

Recent Bible Studies & Translations.


Want to learn more about the Bible? Use these Bible Studies for personal devotion, group Bible studies, or teaching a church class. To find a translation for your lesson, click on the link and then choose your language.