Kristo, Kuhani Wetu

(Waebrania 7 – 8, Warumi 8)
Swahili
Year: 
2013
Quarter: 
4
Lesson Number: 
8

Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2011, Bruce N. Cameron, J.D. Marejeo yote ya maandiko yametoka kwenye tafsiri ya New International Version (NIV), copr. 1973, 1978, 1984 International Bible Society, isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo. Nukuu kutoka kwenye tafsiri ya Biblia ya NIV inatumika kwa ruhusa ya Wachapishaji wa Biblia wa Zondervan. Majibu yaliyopendekezwa yanapatikana kwenye parandesi (kwenye mabano). Somo limekaa kimtazamo kwamba mwalimu anatumia ubao au sehemu nyingine yoyote ambayo inaweza kuonekana na wanafunzi. Kama huwa una kawaida ya kupokea somo hili kwa njia ya barua pepe na hukulipata kwa juma moja, unaweza kulipata kwa kubofya kwenye www.lesoni.blogspot.com kwa lugha ya Kiswahili na http://www.GoBible.org kwa lugha ya Kiingereza pamoja na lugha nyingine kama vile Kifaransa, Kijerumani. Omba kwa ajili ya uongozi wa Roho Mtakatifu unapojifunza.

Utangulizi: Majuma mawili yaliyopita tulijadiliana kwamba kila kitu kimebadilika. Badala ya kuwa na jengo la hekalu hapa duniani ambapo Mungu anakaa ndani yake na wanadamu kumwendea Mungu kupitia kwa kuhani, sasa miili yetu ndio mahekalu (1 Wakorintho 6:19-20) na Roho wa Mungu anakaa ndani yetu (Warumi 8:9). Kama kila kitu kimebadilika, kwa nini basi Waebrania inajadili kwa kina jukumu la sasa la Mungu kama Kuhani wetu Mkuu? Hebu tuzame kwenye somo letu la Biblia ili tuone kile tunachoweza kujifunza kuhusu kile anachokifanya Mungu!

  1. Mpango wa Melkizedeki
    1. Soma Waebrania Je, kuna jambo gani tofauti tunaloliona mara moja kwa Melkizedeki? (Yeye ni mfalme na Katika Israeli, mfalme na kuhani walikuwa ni watu wawili )
    2. Soma Waebrania Je, Melkizedeki analinganishwa na nani? (Yesu, Mwana wa )
      1. Je, ni kwa namna gani Melkizedeki anafanana na Yesu?
    3. Soma Waebrania Tunaweza kuona kwamba mwandishi wa kitabu cha Waebrania anajenga Unadhani mwandishi anahoji jambo gani? (Anawaomba Wayahudi wanaofuatilia mfumo wa mahali patakatifu hapa duniani wawe na mtazamo mpana kwamba kuna jambo kubwa zaidi ambalo lipo, jambo ambalo lilikuwepo kabla ya patakatifu pa hapa )
    4. Soma Waebrania Kwa nini mfumo wa Melkizedeki ni bora kuliko mfumo wa Walawi? (Ni mkamilifu! Ukamilifu usingeweza kupatikana kwa njia ya ukuhani wa )
      1. Ukamilifu kwa ajili ya nani? (Kwa ajili yetu! Sifa kwa )
      2. Hebu tutafakari jambo hili Je, tulibadilika? )
        1. Kitu gani kilibadilika? Hiyo inamaanisha kuwa ukamilifu haututegemei na )
    5. Soma Waebrania Je, jambo gani limebadilika sambamba na ukuhani? )
    6. Soma Waebrania Vipengele gani vya sheria vilibadilika? (Kitabu cha Waebrania kinasema kuwa kanuni za ukuhani Melkizedeki na Yesu si makuhani kwa sababu ya mabadiliko ya kizazi (ukoo) bali kwa sababu ya “uwezo/nguvu ya uzima ”
    7. Soma Waebrania Je, hii inasema kuwa sheria ilibadilikaje? (Utakumbuka kuwa dakika chache zilizopota tulikubaliana kwamba suala la ukamilifu ni tofauti kati ya ukuhani mpya na ukuhani wa Kitabu cha Waebrania kinatuambia kuwa sheria ni “dhaifu na haifai” kutufanya kuwa )
      1. Maneno haya yana nguvu Je, yanamaanisha nini katika kutusaidia kwenye maishani yetu ya kila siku? (Yanamaanisha kuwa kamwe hatuwezi kuwa wakamilifu kwa kujitahidi kuishika Juhudi za aina hiyo hazina maana yoyote kwa sababu sheria ni dhaifu sana kuweza kutimiza “Ukamilifu mdogo” ni tatizo la )
    8. Soma Waebrania Je, Yesu anatimizaje hitaji letu la ukamilifu? (Yeye ni “mtakatifu, asiye na uovu, asiye na waa lolote, aliyetengwa na wakosaji” na “Ana uwezo wa kuwaokoa kabisa wale wanaokuja kwa Mungu kupitia ”)
      1. Ni kwa jinsi gani basi, unakuwa mkamilifu? Je, ninakuwaje mkamilifu? (Kwa njia ya )
  2. Hebu turejee nyuma Tulianza kwa kusema kuwa kila kitu ni Sisi ni mahekalu na Roho wa Mungu anakaa ndani Je, kile anachokifanya Yesu pia ni kipya? (Ndiyo! Hii inatuambia kuwa ukuhani wa Yesu ni mpya na ulioboreshwa, lakini hauachi nyuma utaratibu wa Mfano ni ukuhani wa )
    1. Kama utaratibu wa zamani ni wa muhimu, je, unawezaje kuuweka utaratibu wa zamani katika kile kinachotokea hii leo? (Utaratibu wa zamani ni kwamba msamaha wa dhambi kamwe haukupatikana kutokana na juhudi za Msamaha ulipatikana kwa njia ya kifo cha Utaratibu ulikuwa ni kwamba mchakato wa kuhamisha dhambi ulifanywa na Sasa, Yesu alikufa kwa niaba yetu (tulikufa pamoja naye), na sasa yeye ndiye anayeshughulika na mchakato wa kuhamisha Utaratibu ni kwamba Mungu anakutana na wanadamu mahali Sasa, Mungu anakutana nasi – lakini anataka hekalu letu liwe mahali pa )
  3. Uombezi
    1. Soma Waebrania Je, umewahi kumsikia mtu akisema, “Basi sasa neno kuu ndilo hili?” Je, uelewa wako juu ya neno lililo kuu ni upi? (Tunaye huyu kuhani mkuu mzuri ajabu ambaye kwa sasa anatumika mbinguni kwa niaba )
    2. Soma Waebrania Je, ni kwa jinsi gani Yesu ni kuhani wetu mkuu mzuri ajabu? (Yupo mbinguni, si duniani, alitoa kafara mara moja, na si mara Aliiondoa dhambi na yupo mbele za Mungu kwa niaba yetu!)
    3. Soma Warumi Katika mjadala wetu majuma mawili yaliyopita tuliona kwamba Patakatifu pa Patakatifu katika mahali patakatifu palikuwa ni “mahali pa ” Watu walikufa endapo walienda mbele za Mungu muda usio mwafaka na kwa namna Je, mafungu haya katika kitabu cha Warumi yanaashiria nini juu ya mtazamo wa Mungu dhidi yetu? (Anatupenda sana kiasi kwamba alitupatia Kwa neema yake Mungu atatupatia “vitu ”)
      1. Nani anayeleta mashtaka dhidi yetu? (Hii inaashiria kwamba hakuna aliyekamilika kuleta )
      2. Soma Ufunuo Je, mshitaki ni nani? Ameshindwa na damu ya Mwanakondoo na ushuhuda wa )
      3. Je, unajisikia hatia juu ya dhambi ulizotenda? Dhambi ulizotubu?
        1. Kama jibu ni “ndiyo,” je, mafungu haya yanaashiria nini juu ya jambo hili? (Yanaashiria kwamba ni kazi ya mwovu Hakuna anayejitosheleza kuweza kukushtaki Yesu anapokuwa )
    4. Soma Warumi Hebu ngoja kidogo! Je, tunaye mwombezi wa pili? (Ndiyo! Roho Mtakatifu pia anatuombea! Hii inaleta mantiki kamili katika muktadha wa fundisho la Washirika wote watatu wa Mungu Baba wanatenda kazi kwa ajili yetu!)
      1. Je, ni kitu gani hasa, anachotufanyia Roho Mtakatifu ambacho ni tofauti na kile anachotutendea Yesu? (Roho Mtakatifu anatusaidia katika udhaifu ”)
        1. Je, ni udhaifu gani huu? (Yesu anaondoa dhambi zetu, lakini mfumo wote wa mahali patakatifu unaonesha kuwa dhambi ni Kwa hiyo, tunatakiwa kudhamiria kuishi kwa mujibu wa Mtazamo wetu na matendo yetu ndivyo vilivyo udhaifu wetu, na Roho Mtakatifu anatusaidia katika mambo Kwa mara nyingine, kamwe matendo yetu hayatuokoi, Yesu pekee ndiye anayetenda kwa niaba Je, mtu gani aliyeokolewa anayetaka kuwa wakala wa Shetani?)
      2. Warumi 8:26 ina lugha ya kushangaza kidogo: “Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza ” Je, huu ni uombezi wa aina gani? (Ndugu wangu wa karibu anaweza kuwa na tatizo kubwa la Je, umewahi kuwa na hitaji kubwa kabisa la maombi ambapo ulishindwa kutumia maneno sahihi – maneno yatakayoelezea jinsi gani unahitaji msaada wa Mungu? Hiyo ni aina nyingine ya udhaifu wa Roho Mtakatifu anatuombea ili kuelezea hisia za ndani – ni za ndani sana kiasi kwamba kiuhalisia hatuwezi kuzielezea kwa )
      3. Warumi 8:27 inatupatia kipengele kingine cha Je, umewahi kuwa na hitaji na hukuwa na uhakika juu ya mapenzi ya Mungu katika hitaji hilo? Je, unawezaje kuyajua mapenzi ya Mungu? (Roho Mtakatifu “huwaombea watakatifu kama apendavyo ”)
    5. Soma tena Warumi 8:34 na usome Warumi Tuna matatizo mawili makubwa Sisi ni wadhambi, tunaostahili kifo, na tunaishi katika ulimwengu wa Yesu alitatua tatizo la kifo na anaendelea kutuombea Je, tunakabilianaje na tatizo la kuishi katika ulimwengu wa dhambi? (Huu ni uombezi wa Roho Roho anatusaidia, anatulinda na )
      1. Je, huu uombezi wa aina mbili unaonesha nini? (Upendo mkuu wa Mungu! Unaweza kuamua kumwacha Mungu, lakini hakuna kitu kutoka nje kinachoweza kuondoa kafara ya Yesu kwa ajili yako na msaada wa kila siku wa Roho Mtakatifu kwako! Mungu apewe sifa!)
    6. Rafiki, je, ungependa Yesu na Roho Mtakatifu wakuombee? Je, ungependa waondoe laana ya sheria, wakufariji na kukuongoza katika matatizo ya siku kwa siku? Kama ndivyo, kwa nini usimkaribishe Yesu maishani mwako sasa hivi? Kwa nini usitubu dhambi zako na kuikubali kafara yake na uwezo wa Roho wake?
  4. Juma lijalo: Hukumu ya